Tuesday, August 14, 2012

TONI BRAXTON ASHITAKIWA KWA DENI LA DOLLA57 ELFU






Mwanamuziki Toni Braxton amefunguliwa mashitaka baada ya kushindwa kulipia kipindi chake kinachojulikana kama Braxton Family Values..Braxton amefunguliwa mashitaka na kampuni inayojulikana National Promotions & Advertising,baada ya kushindwa kulipa kiasi cha Dola 57,000 za Marekani baada ya kutangaza kipindi hicho kwa msimu wa pili.Hata hivyo mwanamuziki huyo amekanusha vikali tuhuma hizo huku akisema kuwa hausiki na amepinga kulipa gharama za matangazo hayo..alisikika akisema "mimi sijaingia nao mkataba sasa wao wanatakiwa kwenda kumdai walioingia nao mkataba maana hata mimi nadai kiasi kikuwa cha fedha sasa nawashangaa kunidai mimi"

0 comments:

Post a Comment