Tuesday, August 14, 2012

EYONCE KIMAPATO NI NOMA KWA SASA

Mwanamuziki na mama wa mtoto mmoja Beyonce kwa hivi sasa anakadiriwa kuingiza zaidi ya dolla 25 million kwa mwaka..na inakadiriwa kuwa kwa hivi sasa mwanamama huyo amemzidi mumewe ambaye pia ni Rapper,ambaye inasadikika amekusanya zaidi ya doloncela Million 24 kwa mwaka.ukilinganisha amemzidi kwa zaidi ya dolla million 1,kwahiyo mwanamama Beyonce anakusanya fedha nyingi kumzidi mumewe.

0 comments:

Post a Comment