
Mkali toka visiwa vya marashi ya karafuu anaetamba na ngoma yake ya Nichekeche zamani Kichefu chefu SMAIL najipanga kufanya TV show niligonga nae Sound mkali huyo wa Style ya vanilla amenifahamisha kua kati ya kesho ama kesho kutwa wataanza kushut baadhi ya vipande vya Reality Show hiyo ambayo itarushwa na moja kati ya vituo vya Runinga hapa nchi.
Nilijaribu kutaka kujua ni kituo kipi cha Runinga kitaonesha show hiyo?kwa mujibu wa smail ameniambia kua muda ukifika utasema na mtaona.
kila la kheri kijana.
0 comments:
Post a Comment