
Wafanyakazi na uongozi wa www.uptowntz.blogspot.com wanawatakia waislam wote EID MUBARAK.
Kwaniaba ya mkurugenzi mtendaji wa mtandao huu unapenda kuwapongeza waislam walioweza kukamilisha kwa ukamilifu Ibada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.Ikiwa pamoja na kuwaomba kuendeleza Ibada kama ilivyokua katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
ANGALIZO
HAKIKA SIKU YA EID NI SIKU MAALUM KWA AJILI YA IBADA NA KUFURAHI KWA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM.WANAODHANI NI SIKU YA KUNYWA POMBE UZINZI NA MACHAFU MENGINE BASI TUNATUMIA NAFASI HUU KUKUMBUSHANA.TUSIWE NA FIKRA POTOFU ZA AINA HIYO.
HAPPY EID MUBARAK
0 comments:
Post a Comment