Tuesday, August 14, 2012
Home »
» Nick Minaji Vs Dj Rosenburg wa Hot 97
Nick Minaji Vs Dj Rosenburg wa Hot 97
Niki Minaji mwenye heshima ya kuwa ni female Rapper na pia ni kati ya wanadada waliopata kutajwa katika ile list ya wanawake wenye makalio makubwa marekani kwa kushika nafasi ya tano siku ya leo atakuwa katika show moja matata itakayofanyika huko Roseland Ballroom ambayo imedhaminiwa na kampuni ya pespi
Nick Minaji alicomfirm juu ya yeye kufanya show hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa kwenye interview na Dj Rosenburg wa Hot 97 ambaye kipindi fulani aliyewahi kuidis ngoma yake ya Starship na kumpelekea bosi wake Nick Minaj Lil Wayne kumzuia kufanya show iliyokuwa imeandaliwa na Hot 97.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
0 comments:
Post a Comment