Baada ya kuwepo taarifa kuwa Agnes wa Masogange alimshutumu
Sintah kwa kusambaza video yake ya ngono, imebainika kuwa Aggy amemuomba msamaha
na sasa ni amani tu!
Taarifa hiyo imethibitishwa na Sintah kwenye website yake
ambaye ameandika:
Sipendi uchonganishi jamani?? huyu dada alishaniomba msamaha
na mimi na yeye tunaongea vizuri,,kama mtu anawashwa na yake kupitia funny
blogs tafuteni la kuandika.
Agnes Masogange
Sintah
Jamani yale maisha ya twendeni tukanywe mbona yamepita? so
msiendelezee maneno yenu ya ajabu mimi na Agnes tunaongea tena siku ile ile ndo
maana nilifuta posts na nimemsema sana
nadhani ameanza kunisikiliza na akinisikiliza atafika mbali maana ni binti
mzuri so mnaopenda watu wagombane poyeeeeeee,, mmeshushukaje??tafuteni mwingine
kwangu ni fulllll stooooooop.
Agnes nakwambia hapa mbele ya watu huna marafiki
ni wanafiki wao ndio wamenitumia video kwa mda wako uje nikuonyeshe
waumbuke na munch status zako zote walituma
ONYO KWA MADADA
0 comments:
Post a Comment