Tuesday, August 14, 2012
Home »
» Camilion Aanzisha kikundi cha Maendeleo.
Camilion Aanzisha kikundi cha Maendeleo.
KAMILION AANZISHA KUNDI LA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO,NA TAYARI MKALI HUYO AMESHAACHIA NGOMA INAYOHAMASISHA JUU YA KUNDI HILO PIA KUPIGA DEBE WATU WAWEZE KUA NA UFAHAMU WA KUTOSHA JUU YA HILO.AMESEMA KUNDI HILO KAMWE HALITOJIHUSISHA NA SIASA BALI KUWAHIMIZA WANANCHI WA UGANDA KUFANYA SHUGHULI ZA KUCHANGIA MAENDELEO PIA KUONDOA DHANA YA KUFANYIWA KILA KITU NA SERIKALI.ALIMALIZIA KWA KUSEMA KUA AMEWEZA KUONA JINS VITU VINAVYOPANDA BEI KAMA MAFUTA SUKARI ETC MAISHA YETU YAPO MIKONONI MWETU WENYEWE.
0 comments:
Post a Comment