Tuesday, September 18, 2012

WIZ,UMBER HADHARANI NAMNA HII


Mara baada ya kutangaza  hadharani kuwa wanatarajia kupata mtoto hatimae mwanamitindo Umber Rose na Wiz Khalifa,wameonekana hadharani katika sehemu za burudani huku Wiz akioneka akiwa mwenye furaha kubwa tofauti na zamani.

0 comments:

Post a Comment