Saturday, August 18, 2012

BOB JUNIOR KUIANZA EID NJOMBE

 
C.E.O wa Sharobaro Rec.usiku wa leo 18th Augost 2012 anatarajiwa kupiga show ya ajabu katika ukumbi wa Club Vegas uliopo mkoa mpya wa Njombe unaowakilishwa na Spika wa Bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.kwa mujibu wa waandaaji wa Show hiyo walipoongea na mtandao wa uptowntz walisema kua mkali huyo ataikaribisha Eid Njombe kabla ya kesho kukamua tena Makambako siku ya Eid mosi.

0 comments:

Post a Comment