
Wanaume wa Kenya wanaommendea first lady wa Camp Mulla, Miss
Karun, inabidi wajiandae kukutana na mama yake ambaye ni mkali zaidi ya mbogo!
Inadaiwa kuwa japo Miss Karun ameshauvuka umri wa hatari
unaoweza kumpeleka kidume jela kama akila 'tunda' lake, mama yake hamruhusu kuwa na mpenzi.
Mama yake ni wale akina mama ‘wakoloni’ na matajiri ambaye
hawezi kumruhusu mwanae huyo mrembo aende kwenye concert na kukosa masomo, hata kama inalipa kiasi
gani!

Anasoma kwenye shule yenye gharama nchini Kenya iitwayo Braeburn.
Inadaiwa kuwa mama yake humchagulia hadi nguo za kuvaa. Siku
ya fainali ya Tusker Project Fame mwezi uliopita ambapo Camp Mulla waliperform alivaa
nguo ambazo mama yake hakuzikubali.
0 comments:
Post a Comment