Thursday, August 16, 2012

NASRI WAVANILLA KUACHIA VIDEO MPYA SIKU YA EID

Nasri wavanilla

 Mkali wa staili ya Vanilla anaeunda kundi la WAVANILA likiongozwa na mkali alietamba na mzigo wa kichefu chefu na sasa anatamba na Bidhaa inayoitwa Nichekeche .namzungumzia SMAIL WAVANILLA.
NASRI WA VANILLA

.                                               Smail wavanilla akisimamia video ya Nasri

 Akizungumza na www.uptowntz.blogspot.com alifunguka kua video yake hiyo ya ngoma ya HANITAKI Amefanya na kampuni ya DILU PRODUCTION iliyopo ZANZIBAR  Anapotokea msanii huyo. Pia aliwataka mashabiki wake kua na subra coz anasubir kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ili aweze kuzindua na kurelies Video mpya.Nilipata muda wa kupiga stori na kiongoz wao SMAIL alinifahamisha kua kijana wake huyo machachari kwa sasa yupo Studio pia anafanya Track nyingine ambae hakua tayari kutiririka kua lina mzigo huo utasikika bali alisema kua unapikwa na CHIEF AREA,katika Studio zake za T.TOP Records zilizopo maeneo ya Kilimani Zanzibar.Tusubiri ujio mpya na Video mpya ya kijana wetu Nasri Wavanilla.

0 comments:

Post a Comment