Tuesday, August 14, 2012

Barnabas kutoka jumba la Vipaji(THT) ambaye anayefahamika pia kwa jina la B Boy ndiye msanii pekee kutoka Bongo ambaye ataiwakilisha tz Bongo am Jakaya Land katika Africauniplagged music fastival kwa ajili ya kuisaidia Congo pamoja na watoto walioathiirika na vita litakalofanyika London Uingereza siku ya tarehe 27 August katika ukumbi wa Wembly Arena ambapo atakuwa na wakali 20 kutoka nchi 15 watakaoshika mic moja pamoja nae 2face Idibia,Iyanya na Flavour-Nigeria,Zahara na Zakes Bantwini - South Africa,Cabbo Snoop-Angola,Fally Pupa-Congo,R2bees and Sarkodie-Ghana,Dj Arafat-Ivory Cost zamani Cote Duvaa,Winky D na Mc Inity - Zimbabwe

0 comments:

Post a Comment