Monday, September 7, 2015

SMILE THE GENIUS KUACHIA NGOMA MPYA 11.9.2015

Niwajibu wangu kukujuza kila ambacho kinanifikia kwa upande wa Habari, Hii hapa imenifikia nimeona ni bora niilete kwako pia mtu wangu wa nguvu,


Anajulikana kwa ngoma kali na zenye mpangilio wa sauti nzuri, vijana wa siku hizi wanaita mziki mtamu,
Kupitia Management yake tayari leo hii imetangazwa tarehe ya kutoka kwa Track nyengine kali toka kwa mkali SMILE mara hii akifanya kazi na Producer mkali aliemtoa Diamond Plutnumz hapa namzungumzia mzee wa Chocolate.
Bila shaka mtayarishaji wa Mdundo huo atakua ni BOB JUNIOR na Studio iliyohusika kipika kazi hiyo itakua ni SHAROBARO REC, Usipitwe kusikiliza na Kudownload hapa hapa tarehe 11/9/2015.

0 comments:

Post a Comment