Tuesday, September 8, 2015

NDOA YA BABY J HATARINI KUVUNJIKA

Diva ambae hajawahi kukosea katika suala zima la kutengeneza mziki mtamu, kila akiingia studio akitoa ngoma hua kali kuliko ya mwanzo, lakini pia ni mmioja kati ya wachache katika jinsia yao alie weza kudumu katika Career yake na bado anafanya mziki mtamu pia.
 
BABY JAY Amewaonya wanaume wanaotaka kitumbua chake kuacha kumtongoza kwani amesema kua yeye ni mke wa mtu,

alisema kua ni ngumu kukosa kutongozwa bali kwake imezidi na anadhani kua wanao msumbua kwenye simu ni watu ambao wanamjua na hawana lengo zuri na ndoa yake,
Akiongea na gazeti la MTANZANIA Baby Jay amesema kua yeye ni mwanandoa halali na ataendelea kuheshimu ndoa yake, ameapa kuto wapa nafasi wanaume wasio na nidhamu,

0 comments:

Post a Comment