Habari kubwa sana jana kwenye mtandao wa FB niliyokutana nayo kutoka kwa PS akimshushia lawama SMILE THE GENIUS kwa kutolipa mkwanja wao walipo mpigia live band katika tamasha la ZIFF linalofanyika kila mwaka hapa visiwani Zanzibar,
Hili limekuja siku moja tu kabla ya smail hajaachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha BOB JUNIOR, ambayo imetajwa kutoka siku ya tarehe 11.9.2015.
Hivi ndivyo post ilivyokua,
Nilifanya jitihada za kuwatafuta wahusika pande zote mbili ili kutambua ukweli upo wapi,nilianza na mlalamikaji PS BASS, aliniambia kua nimtafute baadae atanieleza kwani time hiyo yupo mazoezini,
Nikahamia upande wa pili na nikafanikiwa kuchat na SMILE TE GENIUS yeye alisema hivi.
Baada ya hapo nakarejea tena upande wa PS BASS Safari hii nilimpata na akafunguka hivi sikiliza hapa alichosema,
USIKOSE KUMSIKILIZA IMANI KESHO KATIKA MUENDELEZO WA HABARI HII,
Thursday, September 10, 2015
Home »
» KAYASEMA HAYA PS BASS KUHUSU SMILE NA MTONYO WA ZIFF, NNAYO AUDIO HAPA.
0 comments:
Post a Comment