Friday, September 25, 2015

KIPAJI CHENGINE KIPYA HAPA ZANZIBAR MSIKILIZE RAP BEAT ALICHO KISEMA KUHUSU KHAJRA MAHAMUDI AUDIO IPO KAMA KAWAIDA, MZIKI MTAM TOKA ZENJI.

Ikufikie hapo ulipo mtu wangu wa nguvu unae fuatilia kwa ukaribu habari za mziki mtamu wa hapa kwetu Zanzibar hii ni time ya vijana ambao wanatafuta njia za kutoboa kufikia malengo.

Leo hii MKALI NESTA toka UPTOWNTZ alifika maeneo ya mwera na akapata nafasi ya kuzungumza na producer wa  TOWN REC iliyopo Mwera jamaa anaitwa RAP BEAT,
                          RAP BEAT PRODUCER WA TOWN REC MWERA ZANZIBAR 

Vitu vingi sana kavizungumza lakini pia hakuacha kumuombea kura msanii KHAJRA MAHAMUDI ambe pia anahitaji kura yako ili aweze kutoboa katika mziki wake.  
MSIKILIZE RAP BEET HAPA.
 

0 comments:

Post a Comment