Saturday, September 19, 2015

ISIKILIZE HAPA FULL AUDIO BUJU AKIZUNGUMZIA PRODUCTION YA MZIKI MTAM WA ZANZIBAR, KAZI ALIZOFANYA NA WASNII WA NJE YA ZANZIBAR

Kama kawaida ya Mkali Nesta toka Uptowntz kupitia Session ya HIGH CORT leo amepata nafasi ya
kusimama meza moja na Producer wa Mandevu Record, Buju na wakazungumzia kuhusu utayarishaji wa midundo hapa Zanzibar na kuwazungumzia watayarishaji wenzake kwa namna ya kuboresha kazi zao. Je watayarishaji wa midundo ya mziki hapa Zanzibar wanapenda kujifunza kitu kipya???Kuna kazi amezifanya na wasanii wa nje ya Tanzania unalijua hilo???
 Huyu hapa BUJU analijibu hilo.

0 comments:

Post a Comment