Kutoka Town Records iliyopo hapa visiwani Zanzibar maeneo ya Mwera, wamekusogezea hii hapa mpya.
unaweza kuisikiliza na kudownload pia.
Anaitwa SHOMVI SLOW, Mzigo unaitwa AMANI, Studio TOWN REC. Producer RAP BEAT. Dakika zako tatu na sekunde 46 tu Enjoy mtu wangu.
Friday, September 25, 2015
Home »
» MZIGO MPYA TOKA KIWANDA CHA MZIKI ZANZIBAR SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA.
0 comments:
Post a Comment