Kupitia mtandao wako pendwa wa Habari hapa Zanzibar uptowntz kutakua na Fursa kubwa sana ambayo itautangaza mziki wa zanzibar na kuufanya kua mziki unaoweza kutambulika katika nyanja zote na Kona zote za Dunia, Lazima tujivunie chetu na kukipatia msukumo ili kifikie malengo.
Kwa kuliona hilo UPTOWNTZ pamoja na DJ D. SLASH kwa pamoja wamekuja na hili.
Kila mwisho wa mwezi kutakua na MIXING KALI za mziki wa Zanzibar ambazo utapata nafasi ya kuzisikiliza kupitia hapa hapa,
Vigezo vya ngoma yako kua katika mixing kali ya kila mwisho wa mwezi ni rahisi sana, kama vifuatavyo.
NGOMA KALI, PRODUCTION KALI, USIKIVU MZURI ETC.
Pamoja na hili pia tupo katika harakati za kuanzisha Showz za kila mwisho wa week ili kutengeneza na kukuza kipato cha wasanii wetu wa ZANZIBAR huku tukiwa na kauli mbiu ya MZIKI NI KAZI.
KWA MAELEZO ZAIDI ENDELEA KUPERUZI NA KUTEMBELEA MTANDAO HUU.
Tupigie simu kwa NO. +255713674322
+255774552200
Monday, September 21, 2015
Home »
» HII NI POA SANA KWA AJILI YA KUUSOGEZA MZIKI WA ZANZIBAR PALE TUNAPO PATAKA DJ D SLASH KUJA NA HILI JIPYA KWA AJILI YA MZIKI HUU PENDWA WA ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment