Mkali Nesta toka Uptowntz amepata nafasi ya kuzungumza na Mkali mwengine toka Zanzibar ambae anafanya mziki mtam pia,
Pozi Adim ambae amedumu kwenye na kufanya vizuri kwenye mziki huu kwa muda mrefu amezungumzia mambo mengi kuhusu kazi zake kama vile.
1. Kazi alizofanya na Wasanii wa nje ya Zanzibar.
2. Uhusiano wake na Amini & Peter Msechu.
3. Manager wa mziki wake na Producer wa ngoma zake mpya.
Pata time ya kumsikiliza POZI ADIM HAPA
Thursday, September 17, 2015
Home »
» POZI ADIM KAZUNGUMZA HAYA KUHUSU NGOMA ZAKE MPYA ALIZO FANYA NA AMINI NA PETER MSECHU,AUDIO IPO HAPA
0 comments:
Post a Comment