Friday, September 18, 2015

JE WEWE NI MSANII WA MAIGIZO ZANZIBAR? NA UNANDOTO ZA KUFANYA VIZURI KATIKA KIPAJI CHAKO BASI CLEAR PICTURE VIDEO COMPANY IMEKUJA NA HILI.

Kampuni ya utengenezaji wa FILM hapa Tanzania iliyopata kufanya vizuri sana na Film kama                 SIRI YA GININGI, SHIDA na nyengine nyingi,

Kupitia Chief Editor wake ambae pia ni Chief Editor wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa Film hapa nchini MUSA OMARI (Samrani)
, Ametoa nafasi kubwa kwa wasanii wa maigizo hapa zanzibar, ofa hii ni maalum kwa wakazi wa zanzibar.
Ameichagua UPTOWNTZ kua balozi wa kampuni hiyo kwa upande wa zanzibar, sasa kazi ni kwako, ili kufanya kazi na kuisambaza kazi yako wasiliana nasi ili kutimiza malengo na ndoto za kua msanii mkubwa

0 comments:

Post a Comment