Katika hali ya kawaida ikifikia tarehe inayolingana na tarehe ya siku uliyozaliwa kuadhimisha siku hiyo aidha kwa kufanya sherehe ama kufanya chochote kile ambacho nafsi yako inapenda,
Mara nyingi Mke ama Gil friend hua wanafanya juu chini ili wawe wakwanza kukuwish heri ya siku ya kuzaliwa, lakini kwa Ison Mambo yalikua tofauti.
Kila ifikapo tarehe 4 ya mwezi wa tisa Mkali kutoka Wrong Turn ISON MISTARI huadhimisha siku yake ya kuzaliwa kupitia ukurasa wake wa Facebook amelalamika namna hii kuhusu mke wake,
R.I.P #DAD
Sikuyaleo sinafuraha kabisa
Japokua ndio siku niliyopaswa kuanafuraha sana
KUTO KUEPO KWAKO KUMEFANYA MAMBOMENGI YASIENDE SAWA
Lakini mwisho wayote naamini kua ndio #MIPANGO_YA_MUNGU
kilamtu leohii alitamani kua wakwanza kuni wish #happy_birthday_to_me 4/9/2015
Lakini chaaajabu MAMA WATOTO WANGU amekataa kabisa kufanya hivyo
Marafiki wamekua mstari wambele kunitakia kheri nabaraka katika siku yaleo .
Lakini #nduguzangu Kama hawajui kua leo ndio siku nimezaliwa
#i_am_so_sad
Sinafuraha kabisa
Ah!!!!!
#issa_mistari wa New Wrongturn Tz
— feeling stressed.
Unafikiri kwa nini Mama watoto wa Ison hakum wish Mumewe???? Hapa hapa jibu utalipata endelea kutembelea web hii.
Tuesday, September 8, 2015
Home »
» MKE WA ISON AMEKATAA KUMTAKIA MUMEWE HERI YA SIKU YA KUZALIWA (HAPPY BIRTHDAY)
0 comments:
Post a Comment