Wednesday, September 16, 2015

JE WASANII WA FILM ZANZIBAR WANASAIDIANA?? UNAJUA KUA FILM YA ZENJI ILIFIKA DAR KWA AJILI YA KWENDA KUUZWA BAADAE IKARUDISHWA ZENJI? MAJIBU YAPO HAPA.

Zanzibar kuna Radio stations nyingi sana ambazo zinafanya vizuri na zina washabiki wengi sana, Nimepata kusikiliza Vipindi kadhaa vya burudani vimekua viwapa muda mwingi wa hewani wasanii wa Mziki wa kizazi kipya, ni jambo zuri kwa sababu tunainua mziki wetu wa Zanzibar na tunatengeneza ajira kwa vijana wetu.

Upande wa pili wa shilingi haupati nafasi ya kutumia vyombo hivyo kutangaza kazi zao lakini pia kuboresha ajira zao.
Mwanahabari toka uptowntz Mkali Nesta amepata nafasi ya kuchapa Stori na Sophy toka kiwanda cha FILM ZANZIBAR ZENJI MOVIE, Yeye ameonyesha jinsi gani anahitaji msaada wa media zetu hapa zanzibar ili atoe ya moyoni,
                                                                       SOPHY
Lakini pia Sophy amezungumzia Film ambayo ilichezwa hapa Zenji kisha ikapelekwa SOKONI mjini Dar es salaam lakini baadae Film hiyo ikarudishwa Zenji na hadi leo ipo kabatini, Je unafaham sababu ni nini??
Hapa Sophy anatiririka,

Samahani kwa kutomalizika kwa audio hiyo ila tutamtafuta SOPHY Ili atueleze zaidi hapa hapa.

0 comments:

Post a Comment