Friday, September 18, 2015

MTU WANGU WA NGUVU UNAEPENDA MZIKI MTAM WA ZANZIBAR, HILI KUBWA AMBALO BODEA ANAENDA KULIFANYA KWA AJILI YA MZIKI MTAM

Mkali aliefanya mziki mtam tangu zamani hadi sasa BODEA ameeleza mengi kuhusu mziki mtam wa zanzibar na bongo flava.
Akiongea na mtangazaji wa COCONUT FM, Bodea amesema amerudi kuja kuanzisha studio ya kisasa na itakayokua na mfumo tofauti,
Lakini pia Bodea ameongelea kimya chake na kusema kua, Aliwahi kufanya kazi na MTV kwa muda wa mwaka mmoja kama mtangazaji huko Africa ya kusini kabla hajatimkia Marekani kwa ajili ya kujiendeleza kielimu.
Niwakumbushe kidogo Hii hapa toka kwa  

BODEA NA LADY JAY DEE - KAMA HUNITAKI




0 comments:

Post a Comment