Wednesday, September 9, 2015

HAYA NDIO ALIYO YASEMA TUNIC WASTANZA KUHUSU KUNDI LAO WALEO PERFORMANCE JE ISON BADO YUPO KUNDINI NNAYO AUDIO HAPA.

Wadau wa mziki mtamu hapa visiwani Zanzibar nadhani tunakumbuka vizuri kundi la Hip hop WALEO PERFORMANCE ambalo lilipata kufanya vizuri sana, na liliundwa na members watatu ambao ni ISON MISTARI, TUNIC WASTANZA na WAMITANO.
Leo nilipata nafasi ya kujua kua je?? Kundi hilo bado lipo hai ama limekufa? kama lipo hai mbona members wake wameunda makundi mengine mfano ISON!!
                                                          TUNIC WASTANZA
Pengine na wewe ulikua na maswali kama hayo ya kujiuliza basi majibu yake yapo hapa,
Mkali Nesta amepata nafasi ya kufanya Mahojiano na mmoja kati ya Members wa kundi hilo hapa ametiririka.

0 comments:

Post a Comment