Nilipata nafasi leo ya kuchati na Producer Mbezi Godfather, alietengeneza hit kibao kama vile Tilalilla ya Blue Bayser na nyengine nyingi tu.
Producer Mbezi
Amezungumzia Studio yake ya Audio lakini pia kazungumzia Studio yake mpya ya Video.
Monday, September 14, 2015
Home »
» PRODUCER WA TILALILLAH YA BLUE BAYSER KAZUNGUMZA HAYA NA UPTOWNTZ
0 comments:
Post a Comment