Mkali Nesta mwana habari kutoka uptowntz leo amepata
nafasi ya kuchapa stori na mmoja kati ya vijana ambao wanafanya mziki mtamu hapa visiwani Zanzibar kijana ambae anafanya vyema kupitia mziki wa kizazi kipya hapa namzungumzia member wa zamani wa wavanila,
Abarami the Voice, amezunguzia mambo mengi sana katika mahojiano kama vile,
1. Vedeo ya Mama Tum,
2. Ngoma yake mpya aliyofanya na Beka wa Yamoto Band.
3.Wasanii wengine aliofanya nao kazi hapa Tanzania.
4.Uprise Music
5. Kaizungumzia ndoa yake pia.
Hapa unaweza kuisikiliza audio hiyo full.
Monday, September 14, 2015
Home »
» ALICHOKISEMA ABRAMI THE VOICE. KUHUSU WAVANILA, VIDEO YA MAMA TUM, NA UPRISE MUSIC, NGOMA YAKE MPYA ALIYOFANYA NA BEKA WA YAMOTO BAND,. KIPO HAPA FULL AUDIO
0 comments:
Post a Comment