Ukizungumzia msanii ambae anaandika na kutoa elimu kupitia kipaji chake hapa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla basi hutokosa kumtaja ISON.
Leo hii amekuja na hii hapa humu ndani kuna elimu kubwa sana ya Uraia na kujitambua.
Naweza kusema kua imetoka muda muafaka ngoma hii wakati raia wa nchi hii tunpoelekea kufanya maamuzi magumu kwa mstakabali wa nchi yetu. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE TUNU YETU YA AMANI.
Inaitwa TAIFA LANGU ISIKILIZE.
Sunday, September 27, 2015
Home »
» HII NI ZAIDI YA ELIMU YA CHUO KIKUU TOKA KWA ISON MISTARI ISIKILIZE HAPA.
0 comments:
Post a Comment