Taarifa ambayo imenifikia kuhusu taarifa za kupigwa risasi mlinzi wa Msanii wa mziki wa Taarabu anaetokea visiwani Zanzibar Mzee Yusuph Kupigwa risasi zimethibitishwa na Manager wa Jahazi Modern Taarab kama ifuatavyo.
Wiki iliyopita kulitokea taarifa ya mlinzi wa Mzee Yusuph aitwaye Hassan kupigwa bastola akiwa kazini wakati wa show iliyofanyika Moshi.
Meneja wa Jahazi Morden Taarab Haji Mabovu
amesema Jamaa mmoja aligombana na mlinzi huyo ambaye alikua akitaka
kuingia kwenye shoo bure na baada ya ugomvi mkubwa alimpiga risasi ya
bega la kushoto.Mpaka sasa mlinzi huyo amelazwa katika hospitali ya KCMC akiendelea na matibabu.
0 comments:
Post a Comment