Nilipoiona hiyo post nilijua ni Ngoma nyengine kali inataka kupikwa na wakali hawa kumbe sio hivyo mtu wangu.
ZEETOWN SOLJAZ SNIPERS
Kama kawaida ya Mkali Nesta katika pita pita zake leo amekutana na wadau wa mziki hapa visiwani wakilijadili suala hili kwa kina na mmoja kati yao alieleza kua yeye ni mtu wa karibu sana na upande mmoja kati ya pande hizo mbili,
Harakati za kuwatafuta ZEETOWN na SULTAN KING kuliongelea suala hili zina fanyika na hapa hapa utapata kujua chanzo ni nini.
SULTAN KING
Mkali Nesta yupo mbioni kunasa sauti zao.
HII HAPA NDIO POST YENYEWE