Saturday, October 3, 2015
Thursday, October 1, 2015
Dance with Peter, Episode 1
HOOD C AKIZUNGUMZIA MZIKI WA ZANZIBAR, TONGWE REC, NGOMA YAKE MPYA NA JOSE MTAMBO, LUNDUNO NA Mr. BLUE. HII HAPA AUDIO ISIKILIZE.
Mzaliwa wa Zanzibar ambae anafanya mziki wake pande zote mbili kwa maana ya Zanzibar na Tanzania bara,
Hapa anazungumza na Mkali Nesta kuhusu mustakabali mzima wa maisha yake ya mziki nini kipya toka kwake, wapi anafanya kazi zake Lunduno nakadhalika.
UNAWEZA KUMSIKILIZA HOOD C HAPA AUDIO NNAYO.

MATUKIO KAMA HAYA SI YA KUYAFUMBIA MACHO HATUA ZA HARAKA ZINAHITAJIKA ILI TUNU YETU YA TAIFA AMANI IENDELEE KUDUMU.
Mwanahabari nguli hapa Zanzibar lakini pia ni mmoja kati ya wanaharakati wanaosimamia Ajira za vijana kupitia vipaji vyao kwa maana ya mziki hapa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla yamemkuta makubwa sana.
Gulu Ramadhani ni Manager wa Bomba fm Radio, lakini pia ni mtangazaji mahiri sana, Sauti yake imekua kivutio cha wengi na
kusababisha kua na washabiki lukuki nje na ndani ya visiwa hivi. mbali na hapo ni manager wa wasanii kadhaa kuhakikisha wanafanya kazi zao vizuri na wanapata mafanikio kutokana na kazi zao, Alishawahi kua Manager wa ALI KIBA, PASHA, Mr.BLUE etc. kwa upande wa Zanzibar anasimamia kazi za BABY JAY, SMILE na wengine wengi, kama hiyo haitoshi GURU RAMADHANI ni C.E.O wa G. REC iliyopo Dar es Salaam,
Ukizungumzia mtu wa aina hii unamzungumzia mtu ambae nyuma yake kuna watu wengi, kwa tukio hili ni kuumiza watu walio nyuma yake pia, HAYA NDIO YALIO MKUTA HAPA AMEJIELEZA.
Kwa niaba ya wafanya kazi wa mtandao huu nachukua nafasi hii kumpa pole GURU RAMADHANI kwa yalio mkuta mungu atajalia utapoa InshaAllah.

ILE BIFF YA ZEE TOWN SOLJAZ VS SULTAN KING, KING POZA KAYASEMA HAYA MSIKILIZE FULL AUDIO
Baada ya mengi kuzungumzwa juu ya Zeetown Soljaz na Sultan king, yakihusishwa na biff kati ya pande hizo mbili baada ya Post katika mtandao wa kijamii Facebook kuleta utata iliyopostiwa na ZEETOWN
SOLJAZ,
King poza ni mmoja kati ya membaz wa kundi hilo yeye kazunguza haya na MKALI NESTA kutoka UPTOWNTZ.

Tuesday, September 29, 2015
NILIJUA KOLABO KUMBE NI BIFF MTU WANGU ZEETOWN SOJAZ SNIPERS vs SULTAN KING.
Tarehe 25 September 2015 kupitia ukusara wao wa Facebook ZEETOWN SOJAZ waliandika Sultan King popote ulipo pokea taarifa hii Zeetown wanakutafuta mwana tucheck hewani. ilikua saa tisa na dk 39.
Nilipoiona hiyo post nilijua ni Ngoma nyengine kali inataka kupikwa na wakali hawa kumbe sio hivyo mtu wangu.
ZEETOWN SOLJAZ SNIPERS
Kama kawaida ya Mkali Nesta katika pita pita zake leo amekutana na wadau wa mziki hapa visiwani wakilijadili suala hili kwa kina na mmoja kati yao alieleza kua yeye ni mtu wa karibu sana na upande mmoja kati ya pande hizo mbili,
Harakati za kuwatafuta ZEETOWN na SULTAN KING kuliongelea suala hili zina fanyika na hapa hapa utapata kujua chanzo ni nini.
SULTAN KING
Mkali Nesta yupo mbioni kunasa sauti zao.
HII HAPA NDIO POST YENYEWE

Sunday, September 27, 2015
HII NI ZAIDI YA ELIMU YA CHUO KIKUU TOKA KWA ISON MISTARI ISIKILIZE HAPA.
Ukizungumzia msanii ambae anaandika na kutoa elimu kupitia kipaji chake hapa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla basi hutokosa kumtaja ISON.
Leo hii amekuja na hii hapa humu ndani kuna elimu kubwa sana ya Uraia na kujitambua.
Naweza kusema kua imetoka muda muafaka ngoma hii wakati raia wa nchi hii tunpoelekea kufanya maamuzi magumu kwa mstakabali wa nchi yetu. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE TUNU YETU YA AMANI.
Inaitwa TAIFA LANGU ISIKILIZE.

Friday, September 25, 2015
MZIGO MPYA TOKA KIWANDA CHA MZIKI ZANZIBAR SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA.
Kutoka Town Records iliyopo hapa visiwani Zanzibar maeneo ya Mwera, wamekusogezea hii hapa mpya.
unaweza kuisikiliza na kudownload pia.
Anaitwa SHOMVI SLOW, Mzigo unaitwa AMANI, Studio TOWN REC. Producer RAP BEAT. Dakika zako tatu na sekunde 46 tu Enjoy mtu wangu.

PICHA UTAYARISHAJI WA VIDEO YA RAP BEAT HAPA ZANZIBAR.
Baada ya kumsikiliza Rap beat akiongelea ngoma zake, utayarishaji wa mziki, Studio yake na Usimamizi wa kazi za Khajra, hizi hapa karibu nawe picha za utengenezaji wa video ya ngoma yake.
JE? UNATAKA KUJUA NGOMA GANI NA ITATOKA LINI KAA KARIBU NA UPTOWNTZ UTAELEZWA KILA KITU.

KIPAJI CHENGINE KIPYA HAPA ZANZIBAR MSIKILIZE RAP BEAT ALICHO KISEMA KUHUSU KHAJRA MAHAMUDI AUDIO IPO KAMA KAWAIDA, MZIKI MTAM TOKA ZENJI.
Ikufikie hapo ulipo mtu wangu wa nguvu unae fuatilia kwa ukaribu habari za mziki mtamu wa hapa kwetu Zanzibar hii ni time ya vijana ambao wanatafuta njia za kutoboa kufikia malengo.
Leo hii MKALI NESTA toka UPTOWNTZ alifika maeneo ya mwera na akapata nafasi ya kuzungumza na producer wa TOWN REC iliyopo Mwera jamaa anaitwa RAP BEAT,
RAP BEAT PRODUCER WA TOWN REC MWERA ZANZIBAR
Vitu vingi sana kavizungumza lakini pia hakuacha kumuombea kura msanii KHAJRA MAHAMUDI ambe pia anahitaji kura yako ili aweze kutoboa katika mziki wake.
MSIKILIZE RAP BEET HAPA.

Monday, September 21, 2015
(HIGH COURT TOP TEN) HII NDIO MIKWAJU KUMI INAYOFANYA VIZURI HAPA ZANZIBAR
Mtu wangu wa nguvu nimekusogezea karibu nawe mikwaju 10 inayofanya poa hapa Zanzibar nawe upate kuifaham.
Kupitia HIGH CORT Tunaitambulisha na tuna countdown like this.

HII NI POA SANA KWA AJILI YA KUUSOGEZA MZIKI WA ZANZIBAR PALE TUNAPO PATAKA DJ D SLASH KUJA NA HILI JIPYA KWA AJILI YA MZIKI HUU PENDWA WA ZANZIBAR.
Kupitia mtandao wako pendwa wa Habari hapa Zanzibar uptowntz kutakua na Fursa kubwa sana ambayo itautangaza mziki wa zanzibar na kuufanya kua mziki unaoweza kutambulika katika nyanja zote na Kona zote za Dunia, Lazima tujivunie chetu na kukipatia msukumo ili kifikie malengo.
Kwa kuliona hilo UPTOWNTZ pamoja na DJ D. SLASH kwa pamoja wamekuja na hili.
Kila mwisho wa mwezi kutakua na MIXING KALI za mziki wa Zanzibar ambazo utapata nafasi ya kuzisikiliza kupitia hapa hapa,
Vigezo vya ngoma yako kua katika mixing kali ya kila mwisho wa mwezi ni rahisi sana, kama vifuatavyo.
NGOMA KALI, PRODUCTION KALI, USIKIVU MZURI ETC.
Pamoja na hili pia tupo katika harakati za kuanzisha Showz za kila mwisho wa week ili kutengeneza na kukuza kipato cha wasanii wetu wa ZANZIBAR huku tukiwa na kauli mbiu ya MZIKI NI KAZI.
KWA MAELEZO ZAIDI ENDELEA KUPERUZI NA KUTEMBELEA MTANDAO HUU.
Tupigie simu kwa NO. +255713674322
+255774552200

KUNA KITU CHA ZIADA KWENYE HII NGOMA JE WEWE UMEGUNDUA??JOBFIRE WA MELODY NIMEKOLEA [AUDIO]
Ni muda kidogo tangu iachiwe hewani rasmi ngoma hii ya JOBFIRE akiwa na ABRAMY leo hii nimeona sio mbaya kama ntakupa nafasi uisikilize tena kwa mara nyengine kwa sababu mimi nimegundua Ladha na namna nyengine tofauti ya ujumbe uliomo ndani yake Je?? wewe utaona ile tofauti ambayo mimi nimeona. ISIKILIZE KWA MAKINI HAPA CHINI.
Sunday, September 20, 2015
Saturday, September 19, 2015
ISIKILIZE HAPA FULL AUDIO BUJU AKIZUNGUMZIA PRODUCTION YA MZIKI MTAM WA ZANZIBAR, KAZI ALIZOFANYA NA WASNII WA NJE YA ZANZIBAR
Kama kawaida ya Mkali Nesta toka Uptowntz kupitia Session ya HIGH CORT leo amepata nafasi ya
kusimama meza moja na Producer wa Mandevu Record, Buju na wakazungumzia kuhusu utayarishaji wa midundo hapa Zanzibar na kuwazungumzia watayarishaji wenzake kwa namna ya kuboresha kazi zao. Je watayarishaji wa midundo ya mziki hapa Zanzibar wanapenda kujifunza kitu kipya???Kuna kazi amezifanya na wasanii wa nje ya Tanzania unalijua hilo???
Huyu hapa BUJU analijibu hilo.

Belle 9 Shauri Zao official Video
Friday, September 18, 2015
MTU WANGU WA NGUVU UNAEPENDA MZIKI MTAM WA ZANZIBAR, HILI KUBWA AMBALO BODEA ANAENDA KULIFANYA KWA AJILI YA MZIKI MTAM
Mkali aliefanya mziki mtam tangu zamani hadi sasa BODEA ameeleza mengi kuhusu mziki mtam wa zanzibar na bongo flava.
Akiongea na mtangazaji wa COCONUT FM, Bodea amesema amerudi kuja kuanzisha studio ya kisasa na itakayokua na mfumo tofauti,
Lakini pia Bodea ameongelea kimya chake na kusema kua, Aliwahi kufanya kazi na MTV kwa muda wa mwaka mmoja kama mtangazaji huko Africa ya kusini kabla hajatimkia Marekani kwa ajili ya kujiendeleza kielimu.
Niwakumbushe kidogo Hii hapa toka kwa
BODEA NA LADY JAY DEE - KAMA HUNITAKI

Chris Brown - Zero (Audio)
Mpya kabisa toka kwa Chris Brown, ZERO Inatajwa kua mzigo huo utakuwepo kwenye Album yake mpya ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni.
JE WEWE NI MSANII WA MAIGIZO ZANZIBAR? NA UNANDOTO ZA KUFANYA VIZURI KATIKA KIPAJI CHAKO BASI CLEAR PICTURE VIDEO COMPANY IMEKUJA NA HILI.
Kampuni ya utengenezaji wa FILM hapa Tanzania iliyopata kufanya vizuri sana na Film kama SIRI YA GININGI, SHIDA na nyengine nyingi,
Kupitia Chief Editor wake ambae pia ni Chief Editor wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa Film hapa nchini MUSA OMARI (Samrani)
Ameichagua UPTOWNTZ kua balozi wa kampuni hiyo kwa upande wa zanzibar, sasa kazi ni kwako, ili kufanya kazi na kuisambaza kazi yako wasiliana nasi ili kutimiza malengo na ndoto za kua msanii mkubwa

Thursday, September 17, 2015
POZI ADIM KAZUNGUMZA HAYA KUHUSU NGOMA ZAKE MPYA ALIZO FANYA NA AMINI NA PETER MSECHU,AUDIO IPO HAPA
Mkali Nesta toka Uptowntz amepata nafasi ya kuzungumza na Mkali mwengine toka Zanzibar ambae anafanya mziki mtam pia,
Pozi Adim ambae amedumu kwenye na kufanya vizuri kwenye mziki huu kwa muda mrefu amezungumzia mambo mengi kuhusu kazi zake kama vile.
1. Kazi alizofanya na Wasanii wa nje ya Zanzibar.
2. Uhusiano wake na Amini & Peter Msechu.
3. Manager wa mziki wake na Producer wa ngoma zake mpya.
Pata time ya kumsikiliza POZI ADIM HAPA

Wednesday, September 16, 2015
JE WASANII WA FILM ZANZIBAR WANASAIDIANA?? UNAJUA KUA FILM YA ZENJI ILIFIKA DAR KWA AJILI YA KWENDA KUUZWA BAADAE IKARUDISHWA ZENJI? MAJIBU YAPO HAPA.
Zanzibar kuna Radio stations nyingi sana ambazo zinafanya vizuri na zina washabiki wengi sana, Nimepata kusikiliza Vipindi kadhaa vya burudani vimekua viwapa muda mwingi wa hewani wasanii wa Mziki wa kizazi kipya, ni jambo zuri kwa sababu tunainua mziki wetu wa Zanzibar na tunatengeneza ajira kwa vijana wetu.
Upande wa pili wa shilingi haupati nafasi ya kutumia vyombo hivyo kutangaza kazi zao lakini pia kuboresha ajira zao.
Mwanahabari toka uptowntz Mkali Nesta amepata nafasi ya kuchapa Stori na Sophy toka kiwanda cha FILM ZANZIBAR ZENJI MOVIE, Yeye ameonyesha jinsi gani anahitaji msaada wa media zetu hapa zanzibar ili atoe ya moyoni,
SOPHY
Lakini pia Sophy amezungumzia Film ambayo ilichezwa hapa Zenji kisha ikapelekwa SOKONI mjini Dar es salaam lakini baadae Film hiyo ikarudishwa Zenji na hadi leo ipo kabatini, Je unafaham sababu ni nini??
Hapa Sophy anatiririka,
Samahani kwa kutomalizika kwa audio hiyo ila tutamtafuta SOPHY Ili atueleze zaidi hapa hapa.

Monday, September 14, 2015
PRODUCER WA TILALILLAH YA BLUE BAYSER KAZUNGUMZA HAYA NA UPTOWNTZ
Nilipata nafasi leo ya kuchati na Producer Mbezi Godfather, alietengeneza hit kibao kama vile Tilalilla ya Blue Bayser na nyengine nyingi tu.
Producer Mbezi
Amezungumzia Studio yake ya Audio lakini pia kazungumzia Studio yake mpya ya Video.

ALICHOKISEMA ABRAMI THE VOICE. KUHUSU WAVANILA, VIDEO YA MAMA TUM, NA UPRISE MUSIC, NGOMA YAKE MPYA ALIYOFANYA NA BEKA WA YAMOTO BAND,. KIPO HAPA FULL AUDIO
Mkali Nesta mwana habari kutoka uptowntz leo amepata
nafasi ya kuchapa stori na mmoja kati ya vijana ambao wanafanya mziki mtamu hapa visiwani Zanzibar kijana ambae anafanya vyema kupitia mziki wa kizazi kipya hapa namzungumzia member wa zamani wa wavanila,
Abarami the Voice, amezunguzia mambo mengi sana katika mahojiano kama vile,
1. Vedeo ya Mama Tum,
2. Ngoma yake mpya aliyofanya na Beka wa Yamoto Band.
3.Wasanii wengine aliofanya nao kazi hapa Tanzania.
4.Uprise Music
5. Kaizungumzia ndoa yake pia.
Hapa unaweza kuisikiliza audio hiyo full.

Thursday, September 10, 2015
KAYASEMA HAYA PS BASS KUHUSU SMILE NA MTONYO WA ZIFF, NNAYO AUDIO HAPA.
Habari kubwa sana jana kwenye mtandao wa FB niliyokutana nayo kutoka kwa PS akimshushia lawama SMILE THE GENIUS kwa kutolipa mkwanja wao walipo mpigia live band katika tamasha la ZIFF linalofanyika kila mwaka hapa visiwani Zanzibar,
Hili limekuja siku moja tu kabla ya smail hajaachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha BOB JUNIOR, ambayo imetajwa kutoka siku ya tarehe 11.9.2015.
Hivi ndivyo post ilivyokua,
Nilifanya jitihada za kuwatafuta wahusika pande zote mbili ili kutambua ukweli upo wapi,nilianza na mlalamikaji PS BASS, aliniambia kua nimtafute baadae atanieleza kwani time hiyo yupo mazoezini, Nikahamia upande wa pili na nikafanikiwa kuchat na SMILE TE GENIUS yeye alisema hivi.
Baada ya hapo nakarejea tena upande wa PS BASS Safari hii nilimpata na akafunguka hivi sikiliza hapa alichosema, USIKOSE KUMSIKILIZA IMANI KESHO KATIKA MUENDELEZO WA HABARI HII,

Wednesday, September 9, 2015
HAYA NDIO ALIYO YASEMA TUNIC WASTANZA KUHUSU KUNDI LAO WALEO PERFORMANCE JE ISON BADO YUPO KUNDINI NNAYO AUDIO HAPA.
Wadau wa mziki mtamu hapa visiwani Zanzibar nadhani tunakumbuka vizuri kundi la Hip hop WALEO PERFORMANCE ambalo lilipata kufanya vizuri sana, na liliundwa na members watatu ambao ni ISON MISTARI, TUNIC WASTANZA na WAMITANO.
Leo nilipata nafasi ya kujua kua je?? Kundi hilo bado lipo hai ama limekufa? kama lipo hai mbona members wake wameunda makundi mengine mfano ISON!!
TUNIC WASTANZA
Pengine na wewe ulikua na maswali kama hayo ya kujiuliza basi majibu yake yapo hapa,
Mkali Nesta amepata nafasi ya kufanya Mahojiano na mmoja kati ya Members wa kundi hilo hapa ametiririka.