Thursday, October 1, 2015

MATUKIO KAMA HAYA SI YA KUYAFUMBIA MACHO HATUA ZA HARAKA ZINAHITAJIKA ILI TUNU YETU YA TAIFA AMANI IENDELEE KUDUMU.

Mwanahabari nguli hapa Zanzibar lakini pia ni mmoja kati ya wanaharakati wanaosimamia Ajira za vijana kupitia vipaji vyao kwa maana ya mziki hapa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla yamemkuta makubwa sana.
Gulu Ramadhani ni Manager wa Bomba fm Radio, lakini pia ni mtangazaji mahiri sana, Sauti yake imekua kivutio cha wengi na
kusababisha kua na washabiki lukuki nje na ndani ya visiwa hivi. mbali na hapo ni manager wa wasanii kadhaa kuhakikisha wanafanya kazi zao vizuri na wanapata mafanikio kutokana na kazi zao, Alishawahi kua Manager wa ALI KIBA, PASHA, Mr.BLUE etc. kwa upande wa Zanzibar anasimamia kazi za BABY JAY, SMILE na wengine wengi, kama hiyo haitoshi GURU RAMADHANI ni C.E.O wa G. REC iliyopo Dar es Salaam,
Ukizungumzia mtu wa aina hii unamzungumzia mtu ambae nyuma yake kuna watu wengi, kwa tukio hili ni kuumiza watu walio nyuma yake pia, HAYA NDIO YALIO MKUTA HAPA AMEJIELEZA.


Kwa niaba ya wafanya kazi wa mtandao huu nachukua nafasi hii kumpa pole GURU RAMADHANI kwa yalio mkuta mungu atajalia utapoa InshaAllah.

0 comments:

Post a Comment