Baada ya siku kadhaa zilizopita kupakua Video yake mpya Pacha wangu iliyofanyika South Africa chini ya Adam Juma, Rich mavoko tayari aliweka wazi kufanya kazi na msanii wa Hip hop toka kenya Kaka Sungura, hii inamaanisha kua Pacha wangu ni Video ambayo imeanza kutoa matunda kwa Mavoko, Akiwa tena na Adam Juma Rich Mavoko ameonekana Location akiwa katika muonekano huu.
0 comments:
Post a Comment