Tuesday, October 28, 2014
Home »
» C9 KANJENJE AFUNGUKA FAIDA ANAZOPATA KUPITIA STUDIO ZAKE.
C9 KANJENJE AFUNGUKA FAIDA ANAZOPATA KUPITIA STUDIO ZAKE.
Alianza kama mwanafunzo wa kuandaa music katika Studio za makonella Records zilizopo visiwani zanzibar baadae akawa mtayarishaji wa music katika Studio hizo, kabla hajawa producer mkuu wa Kili Records jijini Dar, Aanaitwa C9 KANJENJE Leo hii ni mmiliki wa Studio zake mwenyewe,Je faida gani anazipata na hatua gani amepiga C9 Huyu hapa msikilize anatiririka.
0 comments:
Post a Comment