Mshiriki pekee wa Tanzania aliebaki katika jumba la BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS 2014.Idris, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupewa adhabu na Big wa jumba hilo. Big aliwaita washiriki wote na kutaja kosa lililofanywa na Idris baada ya Party ya Friday night kuvunja mlango ambapo sheria ya jumbo hilo halihitaji aina yeyote ya Maintenance zifanyike kwa makosa ya washiriki wa shindano.
IDRIS WA TANZANIA
Baada ya matangazo hayo Idris alikimbia na kuianza adhabu yake mara moja,
watanzania tumpigie kura kijana huyu aendelee kubaki ndani ya nyumba.
Tuesday, October 28, 2014
Home »
» IDRIS APEWA ADHABU BAADA YA KUVUNJA SHERIA YA SHINDANO LA BBA
0 comments:
Post a Comment