Kampuni kubwa ya utengenezaji wa Film za kibongo maarufu kama Bongo Movie
(CLEAR PICTURE) Ipo tayari kabisa kutambulisha Movie nyengine mpya baada ya miezi kadhaa iliyopita kutambulisha Movie iliyofanya vizuri na inayojizolea umaarufu mkubwa hapa Bongo
SIRI YA GININGI
Hivi sasa wakali hao wanaozidi kupata umaarufu mkubwa kwa kutengeneza Film iliyokua Gumzo la Jiji la Dsm na mikoa mingi ya hapa TZ, wapo tayari kutambulisha Film nyengine mpya Kabisa iitwayo MTOTO WA RADI ambayo inatarajiwa kutoka mwezi ujao 24/11/2014,
Muandishi wetu alipata nafasi ya kuongea na Manager wa kampuni hiyo aliejulikana kwa jina la Mussa Omari nae alikua na haya yakusema.
Movie mpya (moto wa radi inatoka
24/11/2014 ) Muandishi alipotaka kujua Mastaa gani wamecheza Film hiyo jibu lilikua hivi,
yupo Niva,Dude,kemmy,m2,sabby na Angle,
Pia muandishi alikua na Shauku ya kutaka kujua kama kuna Project nyengine zinazoendelea chini ya Kampuni hiyo Maarufu hapa nchini Clear Picture?
Hapa Muandishi wa Blogu hii amepata Fursa ya kuongea na waongozaji wa Film katika kampuni hiyo ya clear picture ambao ni Mahdy a.k.a P.Junior na Othman nao walikua na haya ya kusema
Muongozaji & Camera man Mahdy. P.Junior
Muongozaji & Camera man Mahdy. P.Junior
Project nyingine ipo Mbioni kukamilika jina
bado kapuni, Ila mastaa watakao husika ni Gapo Nisha,Zubeida Ibrahim,Nassoro Ndambwe na vipaji lukuki
kutoka Zanzbar
NISHA
Waliendelea kuhabarisha kua kampuni hiyo inajali sana na kuibua vipaji vipya toka maeneo tofauti ya hapa Tanzania,
Wananchi tukae mkao wa kula kuzisubiri kazi mpya toka kampuni mashuhuri Clear Picture.
0 comments:
Post a Comment