Friday, October 10, 2014

IRENE UWOYA NA PENZI LA MSAMI WA THT HUU NDIO UKWELI

IRENE & MSAMI

Star wa Bongo movie Irene Uwoya amefunguka kua tetezi zililzoandikwa na kusemwa na vyombo vingi vya habari juu ya uhusiano wa kimapenzi kati yake na Msanii ambae ni mkufunzu kwa upande wa Dancers Msami.
Irene amesema kua MSAMIN ameshiriki katika Film yake mpya iitwayo Kigoda ambayo inahusu Drama na Music na ndipo ukaribu wao ulipoanza kutiliwa shaka, Ila Irene amedadavua kua ukaribu wao haupo kitandani bali wanakua karibu kikazi tu na hakuna Jingine,
Irene ameipa Alama Film yake hiyo ambayo baadhi ya vipande vyake vimechezwa South Africa kua ni Film ya aina yake na inaubora mkubwa sana.
                                            


0 comments:

Post a Comment