Saturday, October 18, 2014

MWANA F.A ft ALIKIBA - KIBOKO YANGU

Miezi mitano sasa imepita Tangu Mfalme yake F.A, ft G.Nako isikike hewani, Leo atahusika Jukwaa moja na T.I toka Marekani,
FA. Amesema kua kabla hajaiachia Mfalme Kiboko yangu ilikua tayari imeshakamilika na ilikua itoke kabla ya Mfalme, ila mipango iligharika na Mfalme ikaanza kutoka.
Binam amesisitiza na kusema kua yeye anaona sasa ni muda muafaka wa Kiboko yangu kusikika, Tayari Binam ametoa tarehe ya mzigo huo kusikika ambayo ni October 22,2014.
Get ready.

0 comments:

Post a Comment