Tuesday, October 14, 2014

NAKUMISS MISS YA TIMBULO VIDEONI


Nakumiss miss ya Timbulo ambayo inafanya vizuri hivi sasa kwa upande wa Audio Jumatatu ijayo inatarajiwa kuachiwa Rasmi kwa upande wa video, Nimejaribu kuchapa story na timbulo akanifahamisha kua Kichupa hicho ambacho kitakua balaaa ni Shiddah kimeongozwa na muongozaji Pablo.
Hii ni moja kati ya ngoma kali ambazo Timbulo amewahi kufanya, Naitabiria mazuri sana.
Tazama kipande cha Video hiyo.

0 comments:

Post a Comment