Wednesday, October 29, 2014
NEW HIT: SUGU & PROF. JAY- MAKAMANDA
Dakika zako tatu tu kisikila kazi ya waanzilishi wa Bongo music namzungumzia SUGU na Profesa Jay. hii hapa.
Tuesday, October 28, 2014
UJIO MPYA WA AVRIL
Baada ya kimya cha mda mrefu sana, Avril sasa amewataka mashabiki wake kusubir kidogo tu kusikia mzigo wake mpya utakao toka hivi karibuni.
Kupitia mtandao wake wa kijamii avril aliandika hivi...
IDRIS APEWA ADHABU BAADA YA KUVUNJA SHERIA YA SHINDANO LA BBA
Mshiriki pekee wa Tanzania aliebaki katika jumba la BIG BROTHER AFRICA HOTSHOTS 2014.Idris, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kupewa adhabu na Big wa jumba hilo. Big aliwaita washiriki wote na kutaja kosa lililofanywa na Idris baada ya Party ya Friday night kuvunja mlango ambapo sheria ya jumbo hilo halihitaji aina yeyote ya Maintenance zifanyike kwa makosa ya washiriki wa shindano.
IDRIS WA TANZANIA
Baada ya matangazo hayo Idris alikimbia na kuianza adhabu yake mara moja, watanzania tumpigie kura kijana huyu aendelee kubaki ndani ya nyumba.
IDRIS WA TANZANIA
Baada ya matangazo hayo Idris alikimbia na kuianza adhabu yake mara moja, watanzania tumpigie kura kijana huyu aendelee kubaki ndani ya nyumba.
C9 KANJENJE AFUNGUKA FAIDA ANAZOPATA KUPITIA STUDIO ZAKE.
Alianza kama mwanafunzo wa kuandaa music katika Studio za makonella Records zilizopo visiwani zanzibar baadae akawa mtayarishaji wa music katika Studio hizo, kabla hajawa producer mkuu wa Kili Records jijini Dar, Aanaitwa C9 KANJENJE Leo hii ni mmiliki wa Studio zake mwenyewe,Je faida gani anazipata na hatua gani amepiga C9 Huyu hapa msikilize anatiririka.
Monday, October 27, 2014
MTANZANIA WA KWANZA ATUPWA NJE YA BIG BROTHER AFRICA.
Laveda
Africa mashariki imeandamwa na hali ngumu katika shindano maarufu linaloendelea hivi sasa Big brother Africa, Tumeshuhudia washiriki wawili toka nchi jerani ya Kenya wakiaga mashindano hayo, ambao ni Sabina, pamoja na Alusa ambae jana ameyaaga mashindano hayo, Upande mwengine wa Esther toka nchi jirani ya Uganda pia ametolewa nje ya jumba hilo.
Jana usiku majira ya saa 3 hivi machungu yameingia nchini kwetu mwananadada anaeiwakilisha Tanzania Laveda, amekosa kura za kutosha toka kwa wana Africa na wana Africa Mashariki za kuweza kumbakisha ndani ya Jumba hilo.

Jana usiku Laveda akiyaaga Mashindano.
Tumekua nyuma Watanzania kwa kutoweza kupiga kura za kutosha ili kuweza kumuokoa mrembo huyo ndani ya Jumba la kifahari.
Bado tuna kila sababu ya kuweza kuendelea kufuatilizia shindano hilo kwani tuna muwakilishi wa pili ambae bado yumo humo ndani Idris ambae kwa hali yeyote ile anahitaji Suport ya watanzania na Africa pia, ili aweze kua mshindi wa Shindano hilo na kuipeperusha Bendera ya nchi hii ya Tanzania.
Idris Muwakilishi aliebaki wa Tanzania
Piga kura kwa wingi uwezavyo ili IDRIS wa Tanzania aweze kua mshindi.
Sunday, October 26, 2014
NEW HIT- OMY-SIKUJALI ( ZENJI MUSIC)
Jana nilikueleza kuhusu kipaji kipya toka Visiwani Zanzibar,Kijana anaitwa Omy.Nilikuahidi pia kukuwekea ngoma yake ni hii hapa leo Dakika zako tatu za kuisikiliza.
Artist: Omy
Song Name: Sikujali
Studio: Six Records
Producer: Side to the Lee.
Saturday, October 25, 2014
CLEAR PICTURE KUJA NA UJIO MWENGINE MPYA 24/11/2014 SOMA HAPA
Kampuni kubwa ya utengenezaji wa Film za kibongo maarufu kama Bongo Movie
(CLEAR PICTURE) Ipo tayari kabisa kutambulisha Movie nyengine mpya baada ya miezi kadhaa iliyopita kutambulisha Movie iliyofanya vizuri na inayojizolea umaarufu mkubwa hapa Bongo
SIRI YA GININGI
Hivi sasa wakali hao wanaozidi kupata umaarufu mkubwa kwa kutengeneza Film iliyokua Gumzo la Jiji la Dsm na mikoa mingi ya hapa TZ, wapo tayari kutambulisha Film nyengine mpya Kabisa iitwayo MTOTO WA RADI ambayo inatarajiwa kutoka mwezi ujao 24/11/2014,
Muandishi wetu alipata nafasi ya kuongea na Manager wa kampuni hiyo aliejulikana kwa jina la Mussa Omari nae alikua na haya yakusema.
Movie mpya (moto wa radi inatoka
24/11/2014 ) Muandishi alipotaka kujua Mastaa gani wamecheza Film hiyo jibu lilikua hivi,
yupo Niva,Dude,kemmy,m2,sabby na Angle,
Pia muandishi alikua na Shauku ya kutaka kujua kama kuna Project nyengine zinazoendelea chini ya Kampuni hiyo Maarufu hapa nchini Clear Picture?
Hapa Muandishi wa Blogu hii amepata Fursa ya kuongea na waongozaji wa Film katika kampuni hiyo ya clear picture ambao ni Mahdy a.k.a P.Junior na Othman nao walikua na haya ya kusema
Muongozaji & Camera man Mahdy. P.Junior
Muongozaji & Camera man Mahdy. P.Junior
Project nyingine ipo Mbioni kukamilika jina
bado kapuni, Ila mastaa watakao husika ni Gapo Nisha,Zubeida Ibrahim,Nassoro Ndambwe na vipaji lukuki
kutoka Zanzbar
NISHA
Waliendelea kuhabarisha kua kampuni hiyo inajali sana na kuibua vipaji vipya toka maeneo tofauti ya hapa Tanzania,
Wananchi tukae mkao wa kula kuzisubiri kazi mpya toka kampuni mashuhuri Clear Picture.
OMY NI ZAIDI YA JINA KUBWA HAPO MBELE
ANAITWA OMY
Ukizungumzia wasanii wakubwa hapa Tanzania basi utawataja wengi ambao hujui mwanzoni walianzaje changamoto walizozipitia etc, wengine walisafiri umbali umrefu kufuata Studio zilipo kwa nauli za kuunga unga,Wengine walilala njaa na wengine walitembea umbali mrefu kwa miguu ili kukamilisha ahadi ya kurekodi aliyoahidiwa na mtayarishaji.Pamoja na yote hayo jambo moja muhimu wadau tunatakiwa kuzingatia ambalo ni kuwapa Sapot vijana wenye vipaji ili kuweza kuonesha na kuendeleza vipaji vyao mwisho wa siku iwe ajira kwao.
KAZI YAKE?
Ni kijana ambae anafanya kazi ya Udereva katika moja ya makampuni ya Gari za kitalii visiwani Zanzibar,
Pengine sababu ni mimi au wewe na mwengine ndio maana Omy hadi leo amebaki katika kazi yake hiyo niliyoieleza hapo juu.
Kama mimi na wewe tungeweka masikio yetu vizuri na kusikiliza kazi za Omar/Omy kupitia kipaji chake cha sauti mashairi na ghani zenye mvuto wa haja kupitia mziki aufanyao wa kizazi kipya a.k.a Bongo Flava, basi leo hii Omy angekua ni miongoni mwa wasanii wa kubwa sana hapa nchini na kuipeperusha vizuri sana bendera ya nchi hii kimataifa,pengine zaidi ya hao ambao tumewaamini na kuwapa Sapot kubwa zaidi,
MZIKI WAKE,
Ameshawahi kufanya kazi kadhaa katika Studio mbali mbali visiwani zanzibar na pia nyimbo zake kuchezwa na baadhi ya Vyombo vya habari visiwani humo, Studio kama Six Records ambazo zimepa mkataba kijana huyu ni moja kati ya Studio kubwa hapa Visiwani Zanzibar
Nikuambie kitu mdau/Mshabiki mpenzi wa Bongo music bado hujachelewa unaweza kuwekeza kwa kujina huyu kupitia mziki ana kipaji na anajua kufanya muzic wa aina aifanyayo.
Leo niishie Kesho ntakupatia nafasi usikilize kupitia hapapa moja ya kazi zake, Huyu ni zaidi ya msanii mkubwa hapo baadae.
Friday, October 24, 2014
Thursday, October 23, 2014
Wednesday, October 22, 2014
DIAMOND & NEY WA MITEGO MIKONONI MWA POLISI
Nyuma ya Fiesta 2014 kuna mengi sana yamejitokeza pia linatajwa kua ndio tamasha pekee lililotia fora kwa matukio tangu huu mwaka uanze, moja kati ya matukio ambayo yalileta utata na bado yanautata ni,
1.Vita ya mashabiki wa Alikiba Vs Diamond
2.Vita kati ya Clouds Fm Vs Times Fm Radio
3.Vita kati ya JWTZ Vs Diamond & Ney wa Mitego.
Tumeshasoma mengi sana yaliyoandikwa na vyombo vya habari vya hapa nchini na nje ya nchi kuhusiana na kipengele no.1.na mbili, hapo juu.
Msomaji wangu leo nataka nikupatie Inshu kubwa inayoendelea hivi sasa hapa mjini Dsm, Tunakumbuka vizuri sana wale ambao tulihudhuria Show na wale ambao tuliangalia nyumbani kupitia Luninga zetu, kua Diamond na Ney wa mitego walipanda jukwaani wakiwa na sare za Jeshi la wananchi wa Tanzania,Pengine niseme Rangi ya nguo zao zimefanana na nguo za Jeshi hilo.

Habari kubwa niliyonayo leo ni kwamba Wawili hao wametakiwa kufika katika kituo cha polisi Osabay wakiwa na nguo hizo zinazofanana na sare za JWTZ,
Wakati huo huo inasemekana kua Bab Tale yeye yupo polisi tangu siku ya pili ya tukio hilo kubwa hapa nchini naizungumzi Fiests 2014.
Akizungumza kwa ufasaha kabisa Ney wa mitego amesema kua ni kweli tukio hilo ni kubwa na wametakiwa kurejesha nguo hizo kituo cha polisi Ostabay Dsm,Hakuishia hapo Ney amesema kua amepata simu kutoka kwa Diamond pia nae akitakiwa kutimiza agizo kama hilo la JWTZ,
Ney ameieleza Uptowntz.blogspot.com kua kuna watu wanayakuza haya mambo na kufanya kua na Sura mpya yeye anadhani ni ya kisheria na ya kuisha na huenda pia wakawa na makosa ya kesheria bila wenyewe kujijua. Ila yataisha tu amesema Ney.
Sunday, October 19, 2014
Saturday, October 18, 2014
MWANA F.A ft ALIKIBA - KIBOKO YANGU
Miezi mitano sasa imepita Tangu Mfalme yake F.A, ft G.Nako isikike hewani, Leo atahusika Jukwaa moja na T.I toka Marekani,
FA. Amesema kua kabla hajaiachia Mfalme Kiboko yangu ilikua tayari imeshakamilika na ilikua itoke kabla ya Mfalme, ila mipango iligharika na Mfalme ikaanza kutoka.
Binam amesisitiza na kusema kua yeye anaona sasa ni muda muafaka wa Kiboko yangu kusikika, Tayari Binam ametoa tarehe ya mzigo huo kusikika ambayo ni October 22,2014.
Get ready.
Binam amesisitiza na kusema kua yeye anaona sasa ni muda muafaka wa Kiboko yangu kusikika, Tayari Binam ametoa tarehe ya mzigo huo kusikika ambayo ni October 22,2014.
Get ready.
Friday, October 17, 2014
HUU NDIO UDHAIFU MKUBWA WA DIAMOND.
Kila mtu anaudhaifu wake aidha kimaumbile, Kitabia,kimaadili, ama hata kiutendaji wa kazi,
Leo hii msomaji wa uptowntz.blogspot.com ningependa ufahamu udhaifu wa Msanii wa Bongo Flavar ambae anafanya vizuri kupitia kazi zake za Mziki anaoufanya. Najua wengi mtadhani kua udhaifu wake ni Wanawake!! ama mabint wazuri ndio ni kweli pia huo ni udhaifu wa Diamond ila mimi leo sitaki ni zungumzie huo. Leo nataka kuzungumzia udhaifu mwengine alionao Diamond
1.HANA BUSARA
(a)Busara humfanya mtu kuchunga mdomo wake ili asiongee jambo ambalo halina faida na halitokua busara kwa mwengine kulisikia ama kumuumiza, pia msemaji lisije kumrudia yeye mwenyewe.
Hivi juzi nilifuatilia Mahojiano ambayo alifanya na moja kati ya kituo kikubwa Cha habari hapa nchini kwetu Tanzania, kwa mtazamo wa kawaida yeye alijiona kua anajibu maswali kawaida tu lakini kwa sisi wachambuzi wa mambo maneno ambayo Diamond alikua akiyaongea ama kujibu hayakua na busara wala hamjengi na yatamrudia mwenyewe,
Upo tayari kufanya kazi na Ali Kiba.(Hili moja kati ya maswali aliyo ulizwa.)
(b)Diamond alijibu Nipo tayari kufanya kazi na msanii yeyote yule, ila tu inategemea na mziki gani ama Project gani.
Hapo jibu lilikua zuri na labusara sana,
Hapa sasa ndipo alipo alipo chafua hali ya hewa na mashabiki wake wakaanza kumdharau.
(c)Alisema yeye hana tatizo anaweza kumsadia msanii yeyote yule ambae anataka msaada wake pindi akiombwa huo msaada, ameshasaidia wasanii wengi sana wa Nigeria na hivi karibuni mtasikia macollabo mengi na wasanii wa Nigeria kama vile,Don Jaz, Dr Sid, KCEE, Mafikizolo, nakadhalika, nimesaidia watu wengi sana wa nje ya nchi itakua wapa nyumbani yupo tayari kusaidia wa hapa nyumbani.endele!!!!!!!!
2.DHARAU
(d)Diamond yeye kwa Mtazamo wake akifanya Ngoma na Alikiba eti kwamba amemsaidia Alikiba kupeleka mziki wake nje ya nchi katoa na Sababu kua eti yeye tayari mziki wake umeshavuka mipaka, Hapa mdogo wangu Diamond amekosea tena sana, Namkumbusa tu kua Mziki unapanda na kushuka leo yupo juu akifanya ngoma na wasanii wa nchi nyingine ama wa hapa ndani anasema anawasaidia. kesho na kesho kutwa yeye pia anahitaji kufanya ngoma na wasanii wengine haijalishi kua wa hapa ama wa nje ya nchi itakuaje? akishuka kimuziki itakuaje? coz mimi naamini peke yake hawezi kufanya mziki wake lazima apate ushirikiano toka kwa wasanii wengine,
3.SIFA ZA KIJINGA
(e)Kuna wasanii wa ngapi ambao walikua na majina makubwa Duniani kwa mziki wao kufika kila kona ya Dunia hii na hawakua na majigambo na sifa za kijinga kama alizonazo ndugu yetu huyu ambae hata Africa yenyewe tu kuna baadhi ya nchi hawamjui wala hawajui nyimbo zake, Lugha ya mawasiliano kimataifa ndo kwanza anajifuza,
ANGALIZO.
(f)Namuombea mungu sana mziki wake ufike mbali zaid ili awe Icon wa nchi yetu na pia atuwakilishe na kuijengea Sifa nchi yetu, Lakini kwa Mambo yalivyo akiendelea na haya bac atakua hana mda mrefu wa kuishi katika anga za mziki.
Mziki ni mashabiki na mashabiki ni mziki na hao mashabiki hubadilika kulimngana na wakati na upepo unapovuma leo huu upepo umevumia kwako kesho je?
Hii ni moja ya Comments ambazo zina mtazamo tofauti kupitia FB Toka kwa Shabiki wake.
Kaka Wille · BSS & TXN Engineer at Vodacom Tanzania

Uamzi
wako sio mbaya @Diamond tatizo lako ndugu Una sifa acha kauli kwamba
unasaidia ww sema 2 naweza fanya nae collabo co uanze sema cjui nataka
nimsaidie hyo haitaniwi sawa So change control ur words wen u talk..!!Mm
ningependa useme hv...Nipo tayari kufanya collabo na kushirikia bega
kwa bega na Ali Kiba bassi ingekuwa imetulia sana bila shaka utajifunza
kupitia comment hii...!!mm napenda sana mkielewana japo Cox wote mnajua
@Di Kiba #@i like u all..!!
Tuesday, October 14, 2014
KIKAANGO CHA KWANZA NDANI YA BBA
BBA, Kikaanga cha kwanza ambacho kinamuhusu mtanzania Laveda na Mkenya Sabina, Esther wa Uganda,Frank wa Rwanda
Hapa naizungumzia Africa ya Mashariki tupige kura kuwanusuru hawa wawakilishi wetu, wengine aliopata kura nyingi ni., ,Tayo wa Nigeria,Permithias wa Namibia, na Lilian wa Nigera,
TAZAMA WASHIRIKI WA BBA WANAVYOOGA
Fungua hapa Kuitazama Video yenyewe. Kama hujatimiza miaka 18+ usifungue.
BBAHotshots: Shower Hour DAY 5– Resa, Sipe, Goitse & M’am Bea
MZIGO MPYA WA MO MUSIC UNATOKA WIKI IJAYO.
Baada ya kufanya Vizuri sana kwa basi nenda Mo Music amefunguka kua yupo tayari kuachia ngoma nyingine mpya ambayo Inaitwa Simama, Mazuu ndio Studio ambayo imehusika katika utengenezaji wa Track hiyo. Pamoja na kua yupo tayari kuachia mkwaju huo amefunguka kua ana ngoma mbili ambazo zote kali Simama ambayo imefanywa na mazuu na Natamani ambayo imetengenezwa na Lollipop, bado hajajua ipi kati ya hizo ataiachia, hadi kufikia wiki kesho Watanzania watakua wamejua ipi kati ya hizo mbili.
Mo Mosic ameenda mbali zaidi na kuweka wazi tofauti kati ya Basi Nenda na zinazofuata, kwanza kasema Midundo, kisha Uandishi, mpangilio wa Sauti na Ufundi wa uimbaji katika ngoma zijazo.
Pia anasema hajamshirikisha msanii yeyote katika ngoma zote mbili, kwa sababu anataka kuwadhihirisha watanzania kua hakubahatisha Basi nenda bali ni kipaji endelevu na uwezo wake mkubwa wa sanaa.
NAKUMISS MISS YA TIMBULO VIDEONI
Nakumiss miss ya Timbulo ambayo inafanya vizuri hivi sasa kwa upande wa Audio Jumatatu ijayo inatarajiwa kuachiwa Rasmi kwa upande wa video, Nimejaribu kuchapa story na timbulo akanifahamisha kua Kichupa hicho ambacho kitakua balaaa ni Shiddah kimeongozwa na muongozaji Pablo.
Hii ni moja kati ya ngoma kali ambazo Timbulo amewahi kufanya, Naitabiria mazuri sana.
Tazama kipande cha Video hiyo.
Monday, October 13, 2014
NYETI ZA MARIAH CAREY ZAANIKWA HUKO CHINA TAZAMA HAPA
Zilipendwa wa Nick Cannon, namzungumzia Mariah Carey yupo ziarani Barani Asia,Baada ya kuvurugana na alie kua mume wako hakusitisha Ratiba za muziki wake, Zitazame Picha zake alipokua akichapa Show huko China ni moja kati ya Show matata alizowah kufanya. Kofuli wazi wazi.
Hii ni moja kati ya picha ambazo zilionesha sehemu alizokua akijidai nazo Nick Cannon,
Hivi sasa hapo kwetu 255 Bongo TZ kumekua na Tabia za wasanii wa kike kuvaa kama hivi ama kukaribia hivi. Je? Msomaji wa uptowntz unahisi kua tunaelekea sehemu sahihi katika kuufikisha mziki wa Tanzania kua Biashara ya Kimataifa,?Tazama picha nyengine ya Mariah Carey. Kisha ntakupa nafasi ya kutazama picha Kadhaa za wasanii wa kike wa hapa nyumbani wakiwa katika mavazi kama haya.
Kofuli ya Mariah kwa mbaaaaali
Huyu ni Vanessa Mdee akiwa katika Kivazi cha uchi nae kama Mariah.
Lina pia akiwa katika Kivachi cha Nusu Uchi.
Toa Maoni yako juu ya hili.

Sunday, October 12, 2014
Saturday, October 11, 2014
RIHANA AKIFANYIWA UKAGUZI UWANJA WA NDEGE.
Katika mtazamo wa kawaida unaweza kudhani kua watu maarufu huwa hawafanyiwi ukaguzi wanaposafiri!!!La-hasha sivyo hivyo Rihana akiwa anasafiri kutoka Miami alipatiwa ukaguzi mkubwa na kuvua cheni zake za dhahabu alizovaa kama haitoshi pia alivulishwa hadi Viatu. Tazama picha Hizi.
Vua Viatu.
Vua na hiyo saaa
Haya unaweza kupita sasa
Chanzo mailonline
JE? NDOA YA JIDE IPO HAI? JIBU LIPO HAPA.
Licha ya kutothibitishwa juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa yake na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, mtangazaji maarufu Bongo, Gardner G. Habash ‘Kepteini’ amenaswa na kabinti akiwa kwenye pozi tata za kimahaba hivyo baadhi ya watu kuhoji anasaliti ndoa? Risasi Jumamosi lilifuatilia hatua kwa hatua.
GARDNER AMUIBUKIA
Wakati mtangazaji huyo akiwa katika mizunguko yake ufukweni hapo, ghafla jicho lake lilitua kwa binti huyo na kumfuata kisha kumnong’oneza kitu (haikujulikana alimwambia nini).
Huku wapenda ‘ubuyu’ wakimfuatilia kwa ukaribu, ndani ya muda mfupi, binti huyo alionekana kuelewa mazungumzo ya Gardner kwa kutingisha kichwa kuashiria ujumbe umemfika vizuri.
WACHEPUKA
Baada ya Gardner na mrembo huyo kusikilizana, wanahabari wetu waliwashuhudia wawili hao wakishikana mikono na kuondoka eneo hilo kwenda kununua vinywaji kisha wakajitenga sehemu wakinywa vinyaji huku Gadner akiwa amemkubatia kwa nyumba mtoto huyo mzuri na mwembamba kama Jide.
WAHAMA PAMOJA
Mashushushu wetu waliwashuhudia wawili hao wakipiga misele pamoja katika maeneo mbalimbali ya ufukwe huo huku mtoto wa kike akiachia tabasamu zito huku jamaa akiwa amemzungushia mkono kiunoni, wakizungumza maneno yalioonesha kuwa wapo kwenye urafiki mzuri.
“Jamani huyu si ni Gardner? Vipi tena mbona anaambatanaambatana na huyu mtoto? Kwa vyovyote ni wazi kabisa kuna kitu kinaendelea kati yao, maana muda wote wapo beneti.“Duh! Sijui Jide akiwaona katika pozi kama hizi atajisikiaje kama kweli hawajaachana,” alisikika mmoja wa wapenda ubuyu.
Baada ya wanahabari wetu kupata walakini na kutaka kuthibitisha hilo, walianza kumfuatilia hatua kwa hatua mpaka waone mwisho wa mchezo utakavyokuwa baada ya kuona dalili hizo, kwa kuwa kadiri muda ulivyozidi kwenda ndivyo mambo yalipozidi kujianika hadharani huku wakijitahidi kukwepa kamera lakini waligonga mwamba.
WABADILISHANA VINYWAJI
Kuonesha kwamba urafiki wao si wakubahatisha, kuna wakati Gardner na mrembo huyo walibadilishana vinywaji jambo ambalo lilifanyika chini ya wapambe wa Gardner ambao walikuwa wakimzingira ili mapaparazi wasiweze kupata picha kwa urahisi.
Wakati mapaparazi wetu wakiendelea kuwafuatilia, ghafla Gardner alitoweka eneo hilo lililokuwa na watu wengi kisha baada ya muda mfupi binti naye akatokomea kusikojulikana.
JIDE AAMBIWA AJIONGEZE!
Kwa mujibu wa mashuhuda wa mpango huo, mke wa Gardner, Jide anapaswa kujiongeza ili kulinda mali yake la sivyo wasichana wa mjini watamzidi kete.
BOFYA HAPA KUMSIKIA GARDNER
Alipotafutwa Gander kupitia simu ya mkononi juzi, Alhamisi ili kuulizwa kuhusu mrembo huyo, mtangazaji huyo alikiri kuwepo Coco kwenye shoo hiyo lakini hakumbuki ni binti gani amuone vizuri kwenye picha.
“Ebwana ni kweli nilialikwa kwenye hiyo shoo so nilikuwepo lakini kuhusu kabinti siwezi kukumbuka labda nione picha.
“Kweli nilipiga picha na mabinti wengi so sijui ni yupi, unajua nature (asili) ya kazi yangu (utangazaji) nakutana na watu wengi na wanapenda kupiga picha na mimi,” alisema Gardner
Chanzo Vituko mtaani
Wakati mtangazaji huyo akiwa katika mizunguko yake ufukweni hapo, ghafla jicho lake lilitua kwa binti huyo na kumfuata kisha kumnong’oneza kitu (haikujulikana alimwambia nini).
Huku wapenda ‘ubuyu’ wakimfuatilia kwa ukaribu, ndani ya muda mfupi, binti huyo alionekana kuelewa mazungumzo ya Gardner kwa kutingisha kichwa kuashiria ujumbe umemfika vizuri.
WACHEPUKA
Baada ya Gardner na mrembo huyo kusikilizana, wanahabari wetu waliwashuhudia wawili hao wakishikana mikono na kuondoka eneo hilo kwenda kununua vinywaji kisha wakajitenga sehemu wakinywa vinyaji huku Gadner akiwa amemkubatia kwa nyumba mtoto huyo mzuri na mwembamba kama Jide.
WAHAMA PAMOJA
Mashushushu wetu waliwashuhudia wawili hao wakipiga misele pamoja katika maeneo mbalimbali ya ufukwe huo huku mtoto wa kike akiachia tabasamu zito huku jamaa akiwa amemzungushia mkono kiunoni, wakizungumza maneno yalioonesha kuwa wapo kwenye urafiki mzuri.
WAPENDA UBUYU SASA!
Wakati Gardner akiwa bize
akifanya yake huku akiwa ameongeza umakini, baadhi ya watu ambao ni
wepesi kufuatilia mambo ya watu (wapenda ubuyu/umbeya), walianza kuibua
minong’ono kwamba kulikoni mtangazaji huyo ambaye amekuwa mzito kutamka
kwamba hawako pamoja na Jide, ajiachie kiasi hicho na mrembo huyo.“Jamani huyu si ni Gardner? Vipi tena mbona anaambatanaambatana na huyu mtoto? Kwa vyovyote ni wazi kabisa kuna kitu kinaendelea kati yao, maana muda wote wapo beneti.“Duh! Sijui Jide akiwaona katika pozi kama hizi atajisikiaje kama kweli hawajaachana,” alisikika mmoja wa wapenda ubuyu.
Baada ya wanahabari wetu kupata walakini na kutaka kuthibitisha hilo, walianza kumfuatilia hatua kwa hatua mpaka waone mwisho wa mchezo utakavyokuwa baada ya kuona dalili hizo, kwa kuwa kadiri muda ulivyozidi kwenda ndivyo mambo yalipozidi kujianika hadharani huku wakijitahidi kukwepa kamera lakini waligonga mwamba.
WABADILISHANA VINYWAJI
Kuonesha kwamba urafiki wao si wakubahatisha, kuna wakati Gardner na mrembo huyo walibadilishana vinywaji jambo ambalo lilifanyika chini ya wapambe wa Gardner ambao walikuwa wakimzingira ili mapaparazi wasiweze kupata picha kwa urahisi.
Hata hivyo, mapaparazi wetu walifanikiwa kuzipata picha hizo kwa
kutumia mbinu za kiintelijensia kama zinavyoonekana katika ukurasa wa
mbele.
WATOWEKAWakati mapaparazi wetu wakiendelea kuwafuatilia, ghafla Gardner alitoweka eneo hilo lililokuwa na watu wengi kisha baada ya muda mfupi binti naye akatokomea kusikojulikana.
JIDE AAMBIWA AJIONGEZE!
Kwa mujibu wa mashuhuda wa mpango huo, mke wa Gardner, Jide anapaswa kujiongeza ili kulinda mali yake la sivyo wasichana wa mjini watamzidi kete.
BOFYA HAPA KUMSIKIA GARDNER
Alipotafutwa Gander kupitia simu ya mkononi juzi, Alhamisi ili kuulizwa kuhusu mrembo huyo, mtangazaji huyo alikiri kuwepo Coco kwenye shoo hiyo lakini hakumbuki ni binti gani amuone vizuri kwenye picha.
“Ebwana ni kweli nilialikwa kwenye hiyo shoo so nilikuwepo lakini kuhusu kabinti siwezi kukumbuka labda nione picha.
“Kweli nilipiga picha na mabinti wengi so sijui ni yupi, unajua nature (asili) ya kazi yangu (utangazaji) nakutana na watu wengi na wanapenda kupiga picha na mimi,” alisema Gardner
Friday, October 10, 2014
NASRI WA VANILLA AZAMA KWA PENZI LA SHINELLA QUEEN
NASRI WA VANILLA
Msanii wa muziki wa kiza kipya Bongo Flaver anaetokea visiwani Zanzibar wenyewe pia huita Zenji Flaver Nasri wa Vanilla ambae anatamba na ngoma ya zawadi kwa sasa pia alishatoa ngoma kibao kali kama Vile Hanitaki,pia ameshafanya kazi kadhaa katika Studio za G.Records Uprise Music na Mazuu Records na kushirikiana na mastaa wa bongo kama Abdul kiba n.k.Unaambiwa msanii huyo ameonekana kuzama katika mahaba niue kwa mtoto Shinella Queen ambae pia alishawahi kutoa ngoma aliomshirikisha Jobfire wa Melody lakini pia ni Dancer na Video Queen, wawili hao walionekana maeneo ya Chukwani huko visiwani zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Starehe huko chukwani mesi Club wakiwa katika mahaba mazito.

SHINELLA QUEEN & NASRI WA VANILLA
Paparazi wetu alipo waona akatupatia picha kadhaa na akatufahamisha pia SHINELLA QUEEN ni ndugu wa msanii Jobfire ambae wanafahamiana kwa karibu na Nasri wa Vanilla, nilitaka kujua kua Jobfire amelichukuliuaje hili nimemtafuta kwa Simu hakupatikana hewani, Pia nilijaribu kumtafuta nasri wa vanilla ili aniambie juu ya matukio hayo pia hakunipa ushirikiano wa kutosha.
WAPENDANAO KTK MAHABA NIUE