Tuzo za BET zimetolewa alfajiri ya leo mjini Los Angeles
na walioibuka na ushindi zaidi ni pamoja na Nicki Minaj, Kanye West, na of
course, Mr and Mrs Sean Carter (Jay-Z na Beyoncé).
Kwa picha za HD leo ulimwengu wa muziki umeshuhudia
kutano rasmi mbele ya public la Kim Kardashian na Beyonce waliokuwa
wameongozana na mabwana zao Kanye na Jay-Z.
Good Music ikiongozwa na Kanye aliangusha show ya nguvu
kwa kuperform wimbo unaohit kwa sasa Mercy akiwa na Big Sean na 2 Chainz.
Performance nyingine imetoka kwa Usher, Nicki Minaj and
2 Chainz, Melanie Fiona, D’angelo(!), Rick Ross na wana Maybach Music Group,
bila kumsahau Chris Brown.
Show hiyo pia ilitumika kumuenzi Whitney Houston ambapo wasanii kadhaa waliimba nyimbo zake akiwemo Monica, Brandy (walioimba “I’m Your Baby Tonight” na “I Wanna Dance With Somebody”), mama yake Whitney,Cissy Houston (aliyeimba “Bridge Over Troubled Water”), na Chaka Khan, aliyeimba “I’m Every Woman.”

Hi indo list nzima ya washindi wa tuzo hizo;
Best
Group: The Throne (Kanye West & Jay-Z)
Best
Actor: Kevin Hart
Best
New Artist: Big Sean
Best
Male R&B Artist: Chris Brown
Best
Collaboration: Wale ft. Miguel
Best
Gospel: Yolanda Adams
Best
Female R&B Artist: Beyoncé
Best
Female Hip-Hop Artist: Nicki Minaj
Lifetime
Achievement Award: Maze featuring Frankie Beverly
Video
Of The Year: “Otis,” The Throne (Kanye West & Jay-Z)
BET
Humanitarian Award: Rev. Al Sharpton
Viewers’
Choice Award: Mindless Behavior
Video
Director Of The Year: Beyoncé & Alan Ferguson
AOL
Fandemonium Award: Chris Brown
0 comments:
Post a Comment