Saturday, July 21, 2012
Home »
» SUPER JAY PHOTOS JUNE JULY
SUPER JAY PHOTOS JUNE JULY
SUPER JAY AKIWA NA PROFESSOR JAY PAMOJA NA RICH MAVOCO NDANI YA STUDIO ZA 87.5 BOMBA FM ZANZIBAR.
KATIKA ENTERVIEW KALI AMBAYO YULISIMAMA MEZA MOJA NA WASANII KIBAO WALIOKUJA KUFANYA SHOW YA JUNE JULAY PICHANI HAPO NI PRESENTER WA SHOW YA THE HITS JABIR SUPER JAY AKIWA NA PROF.JAY PAMOJA NA RICH MAVOCO.
BAADHI YA WASANII WALIOPAMBA USIKU HUO WA JUNE JULIY.PICHANI NI WASANII SHAMAZEE,BERRY BLACK NA LIL GETO.
SWALAMAAAA!!!HII NI SLOGANY AMBAYO KWA MSIKILIZAJI WA 87.5 BOMBA FM ATAKUA ANAJUA NAMZUNGUMZIA D&J FLASH WA PEKEE AKIWA NA MTANGAZAJI WA KIPIND CHA THE HITS CHA 87.5 BOMBA FM PAMOJA NA BABA NDUGU HAVY WEIGHT MC PROF JAY.
HAVY WEIGHT DJ WA 87.5 BOMBA FM DUSKO DALLA CREAM DALLA HOMY AKIWA NA HAVY WEIGHT MC PROF JAY NDANI YA BOMBA FM.
MKURUGENZI MTENDAJI WA 87.5 BOMBA FM ZANZIBAR GURU RAMADHANI AKIWA NA PROF JAY NDANI YA STUDIO HIZO ZA BOMBA FM.
MKURUGENZI MTENDAJI WA 87.5 BOMBA FM ZANZIBAR GURU RAMADHANI AKIWA NA RICH MAVOCO NDANI YA STUDIO HIZO ZA BOMBA FM.
MKURUGENZI MTENDAJI WA 87.5 BOMBA FM ZANZIBAR GURU RAMADHANI AKIWA NA LIL GETO NDANI YA STUDIO HIZO ZA BOMBA FM.
0 comments:
Post a Comment