Monday, July 30, 2012

Picha: Jason Derulo akiperform nchini Rwanda

Juz mwanamuziki wa Marekani Jason Derulo alitumbuiza kwenye uwanja wa Amahoro nchini Rwanda kwenye fainali za shindano la Primus Guma Guma SuperStar. Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.

0 comments:

Post a Comment