Monday, July 2, 2012

PIPI AWEKA HADHARANI UJAUZITO WAKE


Wakati watu maarufu Duniani wakilipwa fedha nyingi na majarida mbalimbali kutoka nchi za Magharibi,imekuwa Tofauti sana kwa hapa Nchini mara baada ya Mwanamuziki Pipi Kuonyesha Tumbo lake Hadharani.

0 comments:

Post a Comment