Tuesday, July 3, 2012
Home »
» New Music Video: Willow Smith ‘I Am Me’
New Music Video: Willow Smith ‘I Am Me’
Willow Smith amekuja tena lakini mara hii akionekana kuwa amekua zaidi na sura ya baba yake ikionekana mno kwenye sura yake.
Kwenye “I Am Me” Willow anajaribu kuwaambia watu wanaokosoa kwa uvaaji wake kuwa yeye ndivyo alivyo.
‘Watu hawapendi ninavyovaa,’ anasikika akiimba.
0 comments:
Post a Comment