Tuesday, July 3, 2012

New Music: Keyshia Cole ft. Lil Wayne "Enough of No Love

Keyshia Cole ameungana tena na timu ya YMCMB ambapo leo July 2, ameachia rasmi single yake ya kwanza kutoka kwenye albam yake mpya Woman To Woman aliyomshirikisha Lil Wayne. Isikilize hapo chini.

0 comments:

Post a Comment