Sunday, July 15, 2012

KIGOMA ALL STARS WAMESHATUA K.TOWN

Wasanii wale wa bongo fleva waliotokea Kigoma hivi sasa wapo jijini tayari kwa show yao ya tarehe 17/07/2012. Wasanii hao ni kama Linex, Abdu Kiba, Mwasiti, Recho, Banana Zoro, Diamond, Ommy Dimpoz, Queen Dlyn, Macomandor..etc..Show hiyo itakuwa free katika uwanja wa Lake Tanganyika... Kwa pamoja wasanii hao wameshakamilisha Bidhaa yao ambayo imepikwa na mtayarishaji maarufu hapa Tanzania Tuddy Thomas.Bidhaa hiyo ambayo itazinduliwa July 17 mwaka huu imepewa jina la kiasili(LEKE DUTIGITE)Maana yake Acha tujidai.Huu ni mfano mzuri sana na wakuigwa ktk upande wa sanaa ya Bongo.
Pichani: Linex, Peter Msechu & Abdu Kiba

0 comments:

Post a Comment