Monday, July 30, 2012
Home »
» MILIONEA WA TUSKER PROJECT FAME SEASON 5.HUYU HAPA
MILIONEA WA TUSKER PROJECT FAME SEASON 5.HUYU HAPA
Kwa mara ya kwanza mshiriki toka Kenya nchi ambayo inaandaa mashindano hayo kuibuka kua wa kwanza hii ni ndoto ambayo imeotwa mdamrefu sana na wakenya walio wengi Jana imetimia na kukamilisha mashindano ya awamu ya tano ya Tusker Project fame Anaitwa RUTH MATETE.
Majoz ya furaha tulishuhudia yakimtoka jana katika fainali hizo.Uptowntz inatoa pongez kwa mshindi huyo wa season 5.
0 comments:
Post a Comment