Sunday, November 2, 2014
Home »
» UNATAKA KUJUA NANI KATOLEWA NJE YA JUMBA LA BBA JIBU LIPO HAPA.
UNATAKA KUJUA NANI KATOLEWA NJE YA JUMBA LA BBA JIBU LIPO HAPA.
Listi ya washiriki waliobaki ndani ya jumba la Big Brother Africa imezidi kushuka tena jana uskiku, muda wa saa 3 hivi kwa saa za Tanzania tumeshuhudia washiriki wengine watatu wakitolewa ndani ya Jumba hilo, nao ni Kacey Moore ambaye alikuwa anawakilisha Ghana, Luis mwakilishi wa Namibia, na Arthur mwakilishi wa Rwanda kumefanya idadi ya washiriki waliotoka mpaka sasa kufikia washiriki kumi, wanne kati yao ni wa kiume na wa kike sita. Hizi ni baadhi ya picha za matukio wakati washiriki hao wakiwa wanatolewa.
0 comments:
Post a Comment