Tuesday, November 4, 2014

JANET JACKSON AONEKANA HADHARANI BAADA YA MWAKA MMOJA WA NDOA



Janet Jackson baada ya kufunga ndoa na Bilionaire kutoka nchini Qatar ‘Wissam Al Mana, Hakuonakena muda mrefu katika mambo ya muziki wala mambo ya burudani kwa mwaka mmoja sasa kwa mara ya kwanza Janet ameonekana pale alipohudhuria Vogue Fashion Dubai Experience akiwa na Mme wake.Wissam Al Mana Janet mwenye miaka 48 aliongea mwaka jana kuhusu muziki na kusema anamipango ya kufanya nyimbo kadha ila anataka ziwe na ubunifu tofauti ni kilichoko sasa kwenye tasnia ya muziki

0 comments:

Post a Comment